Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Kwani hivi kulima matosa na parachichi ni ajabu mbona wageni wengi wanalima wazungu, wachina wakenya ila sijaona wakifanya hizo biashara kama za kwenu.
Kwaiyo hujawahi kuwaona wachina wenye maduka na stores kariakoo mkuu acha kujifungia kwenye vibarua vya machimbo ya matosa utaona mengi
 
Kwaiyo hujawahi kuwaona wachina wenye maduka na stores kariakoo mkuu acha kujifungia kwenye vibarua vya machimbo ya matosa utaona mengi
Nimeshaona mengi nione mengi yapi wachina wenye store wapo wa chache sana ukilinganisha na wengine waliopo kwenye viwanda, ujenzi
 
Nimeshaona mengi nione mengi yapi wachina wenye store wapo wa chache sana ukilinganisha na wengine waliopo kwenye viwanda, ujenzi
Mzee wamatosani bhana mbona umesema hujawahi ona wachina wenye biashara kama tunazofanya sisi nipigie picha mchina anaeshika jembe kama kama wewe maana watakuwa wengi sana
 
Exposure kweny treni za miaka 60s kaka 😁,saiv watu wapo kwenye trums sio hizo vurugu.

Ukweli mchungu ni kuwa dar imeanza kupoteza ushawishi kiuchumi na sababu kuu ni serikal kuhamia dodoma.

Dar iko hapo ilipo kwa ushawishi wa serikali.Wawekezaji wanapokuja Tanzania wanaambiwa dar.Wawekezaji wengi kutoka nje na ndani wamewekeza dar sabab ya ushawishi wa serikali na labda ukiritimba wa kudhoofisha maeneo mengne kwa maslah wanayoyajua wao.

Mfano kuna tycoon mwanza anaviwanda vya chuma aliambiwa atoe viwanda vyake mwanza apeleke pwani sio huyo tu wapo wengi.

Natural wealth kati ya mwanza na dar mwanza iko juu zaidi.Tofauti ya viwanda biashara mambo ambayo ni common dar inakitu gani special.

Usidhani serikal inavyosita kupeleka miundombinu mwanza like international airport, barabara ukadhani hawana akili.Serikali inajua international airport mwanza and some few gvnt infrastructure ni kiama kwa dar.

Mwanza inabust dar sabab HQ za migodi zipo dar wakati dhahabu inachimbwa mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla,kodi inalipwa dar.

Siku serikal ikiamua kuwa na haki kodi ilipwe eneo la operation trust me pato la dar litapungua huenda ikafika 500B huku mikoa kama arusha mwanza pato la kodi TRA likiongezeka.JUST IMAGINE PROMO NDOGO TU KWA ZANZIBAR SAIVI UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR NDO UNAPOKEA WAGENI WENGI KULIKO JKNIA.

NARUDIA TENA KODI YA MIZIGO YA WAFANYABIASHARA IKIKATWA HUKO WANAPOIPELEKA BASI NI KIAMA KWA DAR.HIZI ICDs ZIKITOZA KODI SEHEM MZIGO UNAPOCHUKULIA TEGEMEA KUSHUKA KWA HIO DAR YENU.

IKIFIKA HATUA KODI KWENYE MITANDAO YA SIMU IKALIPWA BY PERCENTAGE i mean TRA tabora ikachukua kodi kweny mitandao ya simu kutokana na mitandao ya simu ilivyofanaya biashara tabora,hapa ndo kutakua na ushindani sahihi sio saiv kodi ya mitandao nchi nzima inahesabika dar
Umeongea kishabiki sana hadi unasahau facts.
Dar inabebwa na bandari mengine yote ni influence ya bandari . Stationaries zinazotumika huko Dodoma bado zinanunuliwa kwenye maduka ya dar .wachina wameweka viwanda vingi pwani kwa sababu ni karibu na dar port.
Miji inayoweza kuja kuipiku dar huko mbele ni ile miji yenye bandari mf mtwara.
 
Wakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.

1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii imepunguza idadi kubwa ya watu ambao wangelazimika kusafiri na kuwepo mjini Dar. Hivyo imepunguza wananuzi wa mahitaji na huduma mji Dar es Salaam.

2. Ujenzi wa SGR ya Dar Hadi Dodoma hii itapelekea kuhamishwa kwa viwanda vingi kwani vikiwepo Dodoma kutakuwa na urahisi wa usafirishaji wa mizigo na magarifi kutoka mikoa mingine. Pia viwanda vingi vitapenda kuwa karibu na ofisi za Serikali.

3. Ujenzi wa miundo mbinu Bora Kwa mikoa mingine Kwa kipindi kifupi kilichopita tumeshuhudia ujenzi wa miundo yenye tija Kwa mikoa mingine Mfano mpango wa upanuzi wa bandari ya Mtwara na ya Mbambabay pia ujenzi wa reli ya Mbambabay Hadi Mtwara. Kwa hiyo baadhi ya mizigo itapungua bandari ya Dar pia baadhi ya viwanda vitajengwa huko Mtwara.

4. Ukuaji wa science na technology Kwa Sasa rasilimali nyingi ambazo zilikua hazivuniki lakini Kwa Sasa Kwa mashine za kisasa za bei nafuu. Zimefanya hata wazawa na wageni wakizitumia kuvuna rasilimali zilipo mkoani Mfano Iringa kumekuwepo na viwanda vingi vya playwood ambavyo Kwa Sasa vingi vinamatawi Njombe hivi vimeifanya Dar kupunyuliwa mkiani Kwa uchumi na Iringa na uwepo wa solar na bodaboda n.k umefanya watu waweze kulima hata sehemu za mbali.

5.Ukuwaji wa center nyingine za kibiashara kama vile Mwanza, Makambako na Dodoma kutapunguza umaarufu wa Dar.

Karibu Kwa mjadala
bandari baba bandaro muhimu landq nagamoyo
 
MSD industry park idofi makambako uzalishaji wa awali wa vifaa tiba umeanza na ukamilishaji wa viwanda Vingine vya dawa unaendelea.
1698198990529.jpg
1698198974920.jpg
1698198959796.jpg
1698198969710.jpg
1698198949103.jpg
1698198378117.jpg
1696737622411.jpg
 
hii INatoka huduma kama ccbrt imejengwa around makambako Barabara ya mbeya km 25 kutoka katikati ya mji
FB_IMG_16879094547359981.jpg
FB_IMG_16879092744948584.jpg
FB_IMG_16879092561878732.jpg
FB_IMG_16879090648090104.jpg
FB_IMG_16879093228897045.jpg
 
Wakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.

1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii imepunguza idadi kubwa ya watu ambao wangelazimika kusafiri na kuwepo mjini Dar. Hivyo imepunguza wananuzi wa mahitaji na huduma mji Dar es Salaam.

2. Ujenzi wa SGR ya Dar Hadi Dodoma hii itapelekea kuhamishwa kwa viwanda vingi kwani vikiwepo Dodoma kutakuwa na urahisi wa usafirishaji wa mizigo na magarifi kutoka mikoa mingine. Pia viwanda vingi vitapenda kuwa karibu na ofisi za Serikali.

3. Ujenzi wa miundo mbinu Bora Kwa mikoa mingine Kwa kipindi kifupi kilichopita tumeshuhudia ujenzi wa miundo yenye tija Kwa mikoa mingine Mfano mpango wa upanuzi wa bandari ya Mtwara na ya Mbambabay pia ujenzi wa reli ya Mbambabay Hadi Mtwara. Kwa hiyo baadhi ya mizigo itapungua bandari ya Dar pia baadhi ya viwanda vitajengwa huko Mtwara.

4. Ukuaji wa science na technology Kwa Sasa rasilimali nyingi ambazo zilikua hazivuniki lakini Kwa Sasa Kwa mashine za kisasa za bei nafuu. Zimefanya hata wazawa na wageni wakizitumia kuvuna rasilimali zilipo mkoani Mfano Iringa kumekuwepo na viwanda vingi vya playwood ambavyo Kwa Sasa vingi vinamatawi Njombe hivi vimeifanya Dar kupunyuliwa mkiani Kwa uchumi na Iringa na uwepo wa solar na bodaboda n.k umefanya watu waweze kulima hata sehemu za mbali.

5.Ukuwaji wa center nyingine za kibiashara kama vile Mwanza, Makambako na Dodoma kutapunguza umaarufu wa Dar.

Karibu Kwa mjadala
Unaijua Dar au unaota mwanangu. Dar kitu ingine mwanangu
 
Back
Top Bottom