Tetesi: Hiyo vita ya risasi Kilimanjaro Airport imesababishwa na nini?

Duh aiseee tusubirie wanaofahamu watujuze zaidi
 
Wacha utoto kijana

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Ni frustration tu bro! CCM wametufikisha pabaya! Nipo hapa nawasikiliza vijanq waliotoka kwenye interview Dodoma, kwanza wanadai majina ya, watoto wa wakubwa, (mfano Mabeyo) walikuwa wanafanyiwa upendeleo wa wazi! Kingine unakuta nafasi zipo 20,waliokuja ni 500+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…