Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo,
Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya makombora kupiga maeneo walipo wanajeshi wa Israel kwenye milima ya Golan.
Miongoni mwa makombora yaliyotumika leo ni FAD-3 ambalo ndio mara ya mwanzo kutumiaka tangu vita vianze takriban mwaka 1 uliopita..Taarifa hiyo ni kulingana na tamko la Hizbullah kupitia akaunti yao ya Telegram.