Yameleta madhara gani sasa au yameua kamanda gani wa israel ila tunaona kila siku israel anavyowapukutisha makamanda wa AllahHapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo,
Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya makombora kupiga maeneo walipo wanajeshi wa Israel kwenye milima ya Golan.
Miongoni mwa makombora yaliyotumika leo ni FAD-3 ambalo ndio mara ya mwanzo kutumiaka tangu vita vianze takriban mwaka 1 uliopita..Taarifa hiyo ni kulingana na tamko la Hizbullah kupitia akaunti yao ya Telegram.
Yameleta madhara gani sasa au yameua kamanda gani wa israel ila tunaona kila siku israel anavyowapukutisha makamanda wa Allah
Halafu hiyo Mvua Iron Dome inazuia yanaingia matone tu.Wamerusha mvua
Cha kushangaza hapo umetuombea dua sisi waislam kwasababu Mungu wa hao uliotajwa ndio Mungu wetu. Mazayuni hayana mungu tofautisha zionist na Judaism. Sis hatuna shida na Judaism Kama diniGod of Abraham, God of Isaac, God of Israel; Blessed be your Mighty Name. AMEN
limesaidia nini?Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo,
Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya makombora kupiga maeneo walipo wanajeshi wa Israel kwenye milima ya Golan.
Miongoni mwa makombora yaliyotumika leo ni FAD-3 ambalo ndio mara ya mwanzo kutumiaka tangu vita vianze takriban mwaka 1 uliopita..Taarifa hiyo ni kulingana na tamko la Hizbullah kupitia akaunti yao ya Telegram.
Sasa wew unahangaika na dini za nn? Dini ni kama simba na yangu tu!Cha kushangaza hapo umetuombea dua sisi waislam kwasababu Mungu wa hao uliotajwa ndio Mungu wetu. Mazayuni hayana mungu tofautisha zionist na Judaism. Sis hatuna shida na Judaism Kama dini
Kila mtu na anavyo amini wewe unaamini ni simba na yanga mimi naamini tofauti kwahio usiniamulie niamini vipiSasa wew unahangaika na dini za nn? Dini ni kama simba na yangu tu!
π π€£ π π Kwa hiyo unaamini kabisa Tamko la Hisballah?!!Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo,