Musa alizaliwa kipindi ambapo Filauni (Farao) alikuwa ametangaza kiama kwa watoto wote wa kiume ili tu Wayahudi wasilete hatari katika nchi ya wamisiri kwa siku za usoni
Mama yake Musa ilibidi amtupe kwa mto na ule mto ndo watoto wa kishua Farao walikuwa wakipenda kuogelea, Walimwokota Musa, naye Musa alikuwa ni mtoto mchanga, alilelewa na kupewa huduma zote za kibinadamu ktk nyuma ya Kifalume,
Musa alipokuwa mtu mzima, kwanza alijitambua kuwa yeye si mmisiri ila ni Myahudi, hiki ni kitendo cha kushangaza sana kati ya simulizi zilizoko kwenye Biblia
Alijitambua kuwa yeye ni Mwisrael, Musa aliibua kisanga Siku alipowakuta Wawili wakigombana, Mmisiri na myahudi, na hapo aliwatambua mmisiri ni yupi na Myahudi ni yupi, haya nayo ni maajabu
Musa aliingilia ugomvi na kumchapa mmisiri hadi umauti
Musa alikimbia Misiri na kwenda Midiani na ndiko alikokulia na kuoa huko,
Hii ni ishara kuwa, Wayahudi ni wayahudi tu, kokote waliko wanatambua kuwa, wao ni wayahudi hata kama wana uraia wa nchi hizo, bado watatekeleza mambo yao kiyahudi na kutetea taifa lao la kiyahudi licha kwamba hawakai Israel
Sioni ajabu viongozi wa kiarabu kuuliwa kirahisi, kwa sababu myahudi kila kona yuko, na amapokuwa huko, anatabia zote za kiyahudi
Nawaambieni hivi msiowajua wayahudi, hata Irani au kiongozi wao watakapoanza kuwapiga wayahudi, wayahudi walioko huko Uran ndio watakaomuuwa
Damu ya myahudi haipotezi asili yake popote pale ilipo
Vitavya pili vya dunia vilipowatawanyisha wayahudi na kwenda kwenye nchi mbalimbali duniani, ilikuwa ni mpango kabambe wa Mungu ili wasipate shida iwapo taifa lolote litawainukia
Siri zote zitakuwa wazi kwa kiongozi wa taifa lao kutoka kwenye nchi yoyote walipo
Dunia lazima iseme, Israel ni mpango wa Mungu, na anayeshupaza shingo, atavunjwa