Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila jambo na wakati wake. Bila shaka kuna mengine ameyatekeleza.Hizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese:
Ni utapeli tupuHizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese:
Hahaha🐼
Ni kama vile anaomba Uongozi Kwa Mara ya kwanza
Martin Maranja Masese nilikuwa namuona mtu smart kumbe hamna kitu.Wanatuhadaa tu, Mbowe mwenyewe hakuwahi zitamka kokote kuwa hizi ndio sababu anataka kuendelea kuwa Mwenyekiti. Hizi zimeandaliwa tu baada ya pressure ya wanachama kuhoji mbona anaongelea historia tu haongelei anachotaka kufanya?
Hivi Mbowe tulishindwa hata kumanage Join the chain alafu tutaweza kumanage chadema family? Si ndio itakua ufisadi wa kutisha. Mbowe amefikia saturation point hana new ideas hata ukimuuliza mgombea urais wa oktoba I'm sure hajui na anasubiri atakayejiondoa CCM!!
Huyu mzee apumzishwe na wajumbe otherwise itakua miaka 5 ya maridhiano na kuibiwa kura tu
Hizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese:
Alishughulikiwa na Fatma Karume hadi akaomba msamaha 🐼Martin Maranja Masese nilikuwa namuona mtu smart kumbe hamna kitu.
Hizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese:
Uko sahihi, namheshimu Mbowe kwa harakati zake za muda mrefu katika siasa za nchi hii lakini kitendo cha kukwepa mdahalo ambao ilikuwa ni platform muhimu kueleza sera na maono yake kwa 2025-2030 maana yake hakutaka kujinadi hadharani hivyo aendelee kukaa kimya hamna anayehitaji kampeni uchwara hizi.Amekimbia mdahalo ambapo angeweza kutueleza sera zake kinagaubaga, yeye kaenda kumpa mpamba wake anayezirusha twitter(X)
Yule si Kimada wa mtuMartin Maranja Masese nilikuwa namuona mtu smart kumbe hamna kitu.
Mbowe mwenyewe hajawahi kuzitamka popote toka achukue fomu.Hizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese: