Nilisikitika sana kuona watu tuliowaamini kwa miaka mingi kumbe matapeli tu.Alivyotoka getezani akaongeza namba binafsi kwe Join the Chain, huyu mzee ni mpigaji aachie ngazi
Wakatengeneza namba ili wapige pesa. Huyu mchaga hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisikitika sana kuona watu tuliowaamini kwa miaka mingi kumbe matapeli tu.Alivyotoka getezani akaongeza namba binafsi kwe Join the Chain, huyu mzee ni mpigaji aachie ngazi
ndio mjue kwamba chama kilikuwa kinaendeshwa kihuni na kijanjajanja🐼
Ni kama vile anaomba Uongozi Kwa Mara ya kwanza
Martin ni mhuni kama wahuni wengine,muda mwingi yupo rumande akili lazima zimtoke.Hizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese: