M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 8,457 Reaction score 3,033 Jan 19, 2025 #21 Ubaya Ubwela said: Alivyotoka getezani akaongeza namba binafsi kwe Join the Chain, huyu mzee ni mpigaji aachie ngazi Click to expand... Nilisikitika sana kuona watu tuliowaamini kwa miaka mingi kumbe matapeli tu. Wakatengeneza namba ili wapige pesa. Huyu mchaga hatari sana
Ubaya Ubwela said: Alivyotoka getezani akaongeza namba binafsi kwe Join the Chain, huyu mzee ni mpigaji aachie ngazi Click to expand... Nilisikitika sana kuona watu tuliowaamini kwa miaka mingi kumbe matapeli tu. Wakatengeneza namba ili wapige pesa. Huyu mchaga hatari sana
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 8,860 Reaction score 11,554 Jan 19, 2025 #22 johnthebaptist said: 🐼 Ni kama vile anaomba Uongozi Kwa Mara ya kwanza Click to expand... ndio mjue kwamba chama kilikuwa kinaendeshwa kihuni na kijanjajanja
johnthebaptist said: 🐼 Ni kama vile anaomba Uongozi Kwa Mara ya kwanza Click to expand... ndio mjue kwamba chama kilikuwa kinaendeshwa kihuni na kijanjajanja
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Jan 20, 2025 #23 Hana agenda za maana ndio sababu akakacha mdahalo!
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jan 20, 2025 #24 Mmesahau huu ni mwaka wa ku-force?
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Jan 20, 2025 #25 Salary Slip said: Hizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese: Click to expand... Martin ni mhuni kama wahuni wengine,muda mwingi yupo rumande akili lazima zimtoke.
Salary Slip said: Hizi agenda ni kutoka ukurasa wa mtandao wa X wa Martin Maranja Masese: Click to expand... Martin ni mhuni kama wahuni wengine,muda mwingi yupo rumande akili lazima zimtoke.