Polisi wamekasirika kila saa wanasimangwa utadhani wote hawafai.Wimbi la ajali linaomgezeka, salamu za pole za Rais zinatolewa, watu tunahuzunika tunasahau Mara ghafla paaap, ajali nyingine tunahuzunika tunasahau.
Miaka mitano iliyopita ajali zilielekea kupungua hasa zile zinazopoteza uhai wa watu mengi, ni wapi tumelegea, wenye dhamana mko wapi, hatutaki Mama yetu alie kila siku.
Poleni sanaHawa watu 5 waliokufa hapa bunju mianzini asubuhi hii imeniumiza sana. Nimeshuhudia dereva wa lorry anaua watu 5 kwa makusudi kabisa. Madereva wa malori na mabasi hudhani kuwa wao pekee wana haki ya kuendesha barabarani.
Nilipitwa na Basi majuzi nikiwa kwenye 120kph nikajuwa hii mashine inacheza na 140kph,nahisi hawa jamaa wameondoa vile vi speed govenor walivyofungiwa vya 80kph...Wimbi la ajali linaomgezeka, salamu za pole za Rais zinatolewa, watu tunahuzunika tunasahau Mara ghafla paaap, ajali nyingine tunahuzunika tunasahau.
Miaka mitano iliyopita ajali zilielekea kupungua hasa zile zinazopoteza uhai wa watu mengi, ni wapi tumelegea, wenye dhamana mko wapi, hatutaki Mama yetu alie kila siku.