Hizi ajali zinaisha lini kila taarifa ya habari vifo toka juzi mda huu chunya kimeita

REACTION TIME

Barabarani nyakati zote hususani inapotokea ajali kuna kitu kinaitwa reaction time, yaani muda unaotumika na dereva au mwili kuitikia kichochea na kuchukua hatua fulani kuepusha hatari iliyopo mbele yake.

Reaction time hutofautiana kati ya dereva na dereva, na hutegemea ukubwa wa hatari, uzoefu, na spidi ya chombo kwa wakati huo.

Jinsi dereva anavyochelewa kureact ndivyo uwezekano wa kutokea ajali au madhara ya ajali kuongezeka huwa mkubwa. Mathalani mtu anapoongea na simu huku akiendesha ghafla kikatokea kitu mbele yake muda atakaotumia kureact utakuwa mrefu kuliko asipokuwa na simu.

Mwingine ikitokea hatari mbele yake badala ya kureact anapigwa butwaa kwanza kwa sekunde kadhaa asijue la kufanya, kisha baada ya hapo akili ndipo zinamrudi kumwambia Kimbia, au toa gari nje ya barabara, nk.

Reaction time(t/r) inahusu pia muda mtu anaotumia kufanya maamuzi hata pasipokuwa na hatari. Mfano, muda anaotumia dereva kuona sasa taa ni kijani naweza kwenda, na hivyo akaamua kuachia brake na kukanyaga eksireta gari iende. Mtu aliyekuwa busy na kitu kingine atareact kwa kuchelewa hadi anapigiwa honi au wenzie wanampita.

Reaction time ni kati ya sekunde 0.7 hadi 3.0. Nchi nyingine duniani huwapima madereva kuona reaction time yao itakuwaje na itachukua muda gani kunapotokea hali tofauti tofauti barabarani.

Tabia yoyote ya dereva inayomfanya dereva kuchelewa kuchukua maamuzi au kuchukua muda mrefu kung'amua jambo na kufanya maamuzi inamuweka dereva huyo katika hatari kubwa ya kupata ajali. Hii inahusisha vitu 3:
-Muda dereva anaopaswa kutambua anapaswa kufanya jambo fulani
-Muda anaotumia kufanya jambo lenyewe
- Muda unaotumika na mfumo wa gari kupokea amri za dereva.

Kwa mujibu wa tafiti, dereva wa wastani anatumia 3/4 ya sekunde kutambua hatari, na 3/4 ya sekunde kutumia breki.

Baadhi ya vitu vinavyoathiri reaction time ni kama vile.
1. Kilevi mwilini
2. Kufuatana kwa karibu (tailgating)
3. Matumizi ya simu
4. Spidi ya kupindukia (excessive speed)
5. Uchovu.
6. Ujuzi hafifu
8. Kukosa uzoefu

Tunashauriwa tupunguze au kuepuka vitu hivi ili kujiepusha na ajali.

RSAadmin1
RSA Tanzania
Usalama Barabarani ni Jukumu Letu Sote.
 
MUNGU ATUSAIDIE SANA NA NYIE ABIRIA MUOMBE SIO MBAPANDA BASI KAMA MNAPANDA MLIMA KILIMANJARO
 
HUYU AN CLASSIC KALAZA MAGARI MAWILI JULY NA AUG UTASHANGAA MAGARI YANAENDELEA KAZIN BILA KUCHUBGUZWA TUTAISHA
 
Ni muda sasa wa kurejea kwa allah tabaara wa ta'ala
Kwa sababu wewe hujui yako ni lini kama alivyosema allah katika suurat luqmaan

وَمَا تَدْرِي نَفْسٌ مَّاذَا تَكْسِبُ غَدًا ۖ وَمَا تَدْرِي نَفْسٌ بِأَيِّ أَرْضٍ تَمُوتُ ۚ إِنَّ اللَّـهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ ﴿٣٤﴾
Na nafsi yoyote haijui nini itachuma kesho, na nafsi yoyote haijui itafia katika ardhi gani. Hakika Allaah ni Mjuzi wa yote, Mwenye Khabari za dhahiri na siri.[19]

Vifo vya wenzetu basi vitupe mazingatio na sisi kwasababu hata wao walikuwa na mipango kama sisi walikuwa na malengo kama sisi walikuwa wanaamin siku yao ya kufa bado sana kama tunavyoamin mimi na wewe tu,
Kifo hakina taarifa hakiangalii wanakutegema wangapi, unaloweza kufanya leo lifanya kwasababu hakun anaejua kesho yake
Pia usisaha allah anakukumbusha
Katika suurat al muuminuun

حَتَّىٰ إِذَا جَاءَ أَحَدَهُمُ الْمَوْتُ قَالَ رَبِّ ارْجِعُونِ ﴿٩٩﴾

99. Mpaka yatakapomfikia mmoja wao mauti, atasema: Mola wangu! Nirejesheni (duniani).[17]

لَعَلِّي أَعْمَلُ صَالِحًا فِيمَا تَرَكْتُ ۚ كَلَّا ۚ إِنَّهَا كَلِمَةٌ هُوَ قَائِلُهَا ۖ وَمِن وَرَائِهِم بَرْزَخٌ إِلَىٰ يَوْمِ يُبْعَثُونَ ﴿١٠٠﴾

100. Ili nikatende mema katika yale niliyoyaacha. (Ataambiwa) Laa hasha! Hakika hilo ni neno alisemalo yeye tu. Na mbele yao kuna Barzakh(Maisha baada ya kifo)[18] mpaka Siku watakayofufuliwa.
 
Umeandika kitaalamu sana na mie binafsi nikiri kuna jambo nimejifunza
 
Kabisaa mkuuu wanguuu yaaan nikipiga idadi ya vifooo nasikia kifrenchfrench
 
Back
Top Bottom