Hizi ajira za TAMISEMI zinatoka baada ya muda gani?

Hizi ajira za TAMISEMI zinatoka baada ya muda gani?

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Wajuzi wa mambo hii PDF inayosubiliwa na vijana wenzangu wa Kitanzania huchukua kipindi gani hadi kukamilika.
 
Kumbukumbu ya mwaka Jana walitumia wiki tatu, mwaka huu sijui wenye kujua watatwambia kila mwaka huja na utaratibu wake.
 
Nadhani mwezi ujao, ila haijulikani ni mwanzo wa mwezi au mwishoni. Sensa inaweza ikafanya mkeka usitoke mapema pia.
 
Nadhani mwezi ujao, ila haijulikani ni mwanzo wa mwezi au mwishoni. Sensa inaweza ikafanya mkeka usitoke mapema pia.
Sasa sensa inahusika vipi hapo? we unafikiri serikali ni ofisi moja?
 
Back
Top Bottom