Riz king JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 276 Reaction score 549 May 27, 2022 #1 Wajuzi wa mambo hii PDF inayosubiliwa na vijana wenzangu wa Kitanzania huchukua kipindi gani hadi kukamilika.
Wajuzi wa mambo hii PDF inayosubiliwa na vijana wenzangu wa Kitanzania huchukua kipindi gani hadi kukamilika.
N Nkondo 2 Senior Member Joined Oct 10, 2016 Posts 181 Reaction score 144 May 27, 2022 #2 Kumbukumbu ya mwaka Jana walitumia wiki tatu, mwaka huu sijui wenye kujua watatwambia kila mwaka huja na utaratibu wake.
Kumbukumbu ya mwaka Jana walitumia wiki tatu, mwaka huu sijui wenye kujua watatwambia kila mwaka huja na utaratibu wake.
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 May 27, 2022 #3 Nadhani mwezi ujao, ila haijulikani ni mwanzo wa mwezi au mwishoni. Sensa inaweza ikafanya mkeka usitoke mapema pia.
Nadhani mwezi ujao, ila haijulikani ni mwanzo wa mwezi au mwishoni. Sensa inaweza ikafanya mkeka usitoke mapema pia.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 May 27, 2022 #4 Riz king said: Wajuzi wa mambo hii PDF inayosubiliwa na vijana wenzangu wa Kitanzania huchukua kipindi gani hadi kukamilika. Click to expand... [emoji2] hapo raia naona Wana kimuemue huko kitaa wanataka yamwagwe hata kesho
Riz king said: Wajuzi wa mambo hii PDF inayosubiliwa na vijana wenzangu wa Kitanzania huchukua kipindi gani hadi kukamilika. Click to expand... [emoji2] hapo raia naona Wana kimuemue huko kitaa wanataka yamwagwe hata kesho
Mjomba ni Mama Member Joined Jun 25, 2015 Posts 69 Reaction score 32 May 27, 2022 #5 Tarehe 1 /6 /2022 Ndio siku tutatoa pdf
Riz king JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 276 Reaction score 549 May 27, 2022 Thread starter #6 Hii Mjomba ni Mama said: Tarehe 1 /6 /2022 Ndio siku tutatoa pdf Click to expand... Ni chai
muafi JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 2,557 Reaction score 6,128 May 27, 2022 #7 ki2c said: Nadhani mwezi ujao, ila haijulikani ni mwanzo wa mwezi au mwishoni. Sensa inaweza ikafanya mkeka usitoke mapema pia. Click to expand... Sasa sensa inahusika vipi hapo? we unafikiri serikali ni ofisi moja?
ki2c said: Nadhani mwezi ujao, ila haijulikani ni mwanzo wa mwezi au mwishoni. Sensa inaweza ikafanya mkeka usitoke mapema pia. Click to expand... Sasa sensa inahusika vipi hapo? we unafikiri serikali ni ofisi moja?