Hizi alama za barabarani zina maana gani?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,527
Katika sheria za barabarani ziko aina zaidi ya 3 za alama na kuendelea kulingana na kila siku kuongezwa.

Yaani alama za onyo, maelekezo, masharti na muongozo na amri.na katika alama hizo kuna zinazoongezwa ambazo kwa sisi madereva wa zamani bado ni ngumu baadhi kuzielewa.

Kwa mfano nimekutana na alama 2 tofauti nimeshindwa kujua zinamaana gani.

Hii yenye kichwa cha binadamu na hii nyingine je zina maana gani?

20210815_085959.jpg
Screenshot_20210811-181305.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika sheria za barabarani ziko aina zaidi ya 3 za alama na kuendelea kulingana na kila siku kuongezwa. Yaani alama za onyo,maelekezo, masharti na muongozo na amri.na katika alama hizo kuna zinazoongezwa ambazo kwa sisi madereva wa zamani bado ni ngumu baadhi kuzielewa.

Kwa mfano nimekutana na alama 2 tofauti nimeshindwa kujua zinamaana gani.
Hii yenye kichwa cha binadamu na hii nyingine je zina maana gani?View attachment 1892902View attachment 1892903

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipige HONI kivuko hutumiwa na hata wasioweza kusikia....
Picha no 1
Tahadhari watu wenye ulemavu wa akili wanaweza kukatiza eneo hili.
Picha no 2
 
Hiyo ya kwanza ni kwa kutambulisha watu wasiosikia kwamba wakiwa hapo wanaweza kupata msaada wa kusikia baadhi ya huduma kwa kutune katika frequency fulani kupitia vile vifaa wanavaa kwenye sikio...kwa kuwa ipo sehemu ya kivuko bila shaka huduma iliyopo ni fursa kwa mtu asiyesikia kuvuka barabara

Ya pili sijui...
 
Katika sheria za barabarani ziko aina zaidi ya 3 za alama na kuendelea kulingana na kila siku kuongezwa.

Yaani alama za onyo, maelekezo, masharti na muongozo na amri.na katika alama hizo kuna zinazoongezwa ambazo kwa sisi madereva wa zamani bado ni ngumu baadhi kuzielewa.

Kwa mfano nimekutana na alama 2 tofauti nimeshindwa kujua zinamaana gani.

Hii yenye kichwa cha binadamu na hii nyingine je zina maana gani?

View attachment 1892902View attachment 1892903

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka hiyo ya kwanza uliioona mandela road s ndio?
 
wa stendi
Katika sheria za barabarani ziko aina zaidi ya 3 za alama na kuendelea kulingana na kila siku kuongezwa.

Yaani alama za onyo, maelekezo, masharti na muongozo na amri.na katika alama hizo kuna zinazoongezwa ambazo kwa sisi madereva wa zamani bado ni ngumu baadhi kuzielewa.

Kwa mfano nimekutana na alama 2 tofauti nimeshindwa kujua zinamaana gani.

Hii yenye kichwa cha binadamu na hii nyingine je zina maana gani?

View attachment 1892902View attachment 1892903

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo uliye kataaga kwenda shule au nimekusahau
 
Hiyo ya kwanza ni kwa kutambulisha watu wasiosikia kwamba wakiwa hapo wanaweza kupata msaada wa kusikia baadhi ya huduma kwa kutune katika frequency fulani kupitia vile vifaa wanavaa kwenye sikio...kwa kuwa ipo sehemu ya kivuko bila shaka huduma iliyopo ni fursa kwa mtu asiyesikia kuvuka barabara

Ya pili sijui...
[emoji848][emoji848]
 
Hiyo ya kwanza ni taarifa. Inaeleza kuhusu uwepo wa walemavu wa kusikia... Katika maeneo hayo.

Ya pili ni alama ya tahadhari. Uwepo wa viziwi.... Kuwa makini.
😂😂😂😂 Khaah
 
Back
Top Bottom