wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,527
Katika sheria za barabarani ziko aina zaidi ya 3 za alama na kuendelea kulingana na kila siku kuongezwa.
Yaani alama za onyo, maelekezo, masharti na muongozo na amri.na katika alama hizo kuna zinazoongezwa ambazo kwa sisi madereva wa zamani bado ni ngumu baadhi kuzielewa.
Kwa mfano nimekutana na alama 2 tofauti nimeshindwa kujua zinamaana gani.
Hii yenye kichwa cha binadamu na hii nyingine je zina maana gani?
Sent using Jamii Forums mobile app