Usipige HONI kivuko hutumiwa na hata wasioweza kusikia....Katika sheria za barabarani ziko aina zaidi ya 3 za alama na kuendelea kulingana na kila siku kuongezwa. Yaani alama za onyo,maelekezo, masharti na muongozo na amri.na katika alama hizo kuna zinazoongezwa ambazo kwa sisi madereva wa zamani bado ni ngumu baadhi kuzielewa.
Kwa mfano nimekutana na alama 2 tofauti nimeshindwa kujua zinamaana gani.
Hii yenye kichwa cha binadamu na hii nyingine je zina maana gani?View attachment 1892902View attachment 1892903
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuya kwanza wanapita wenye matatizo ya kusikia
ya pili wenye mzio wa ubongo
KumbeeAlama ya kwanza ni kuonyesha mbele kuna kivuko cha watu wenye matatizo ya kusikia.
Alama ya pili ni kuna kivuko cha watu wenye mtindio wa ubongo
Bila shaka hiyo ya kwanza uliioona mandela road s ndio?Katika sheria za barabarani ziko aina zaidi ya 3 za alama na kuendelea kulingana na kila siku kuongezwa.
Yaani alama za onyo, maelekezo, masharti na muongozo na amri.na katika alama hizo kuna zinazoongezwa ambazo kwa sisi madereva wa zamani bado ni ngumu baadhi kuzielewa.
Kwa mfano nimekutana na alama 2 tofauti nimeshindwa kujua zinamaana gani.
Hii yenye kichwa cha binadamu na hii nyingine je zina maana gani?
View attachment 1892902View attachment 1892903
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio pale T.O.TBila shaka hiyo ya kwanza uliioona mandela road s ndio?
We ndo uliye kataaga kwenda shule au nimekusahauKatika sheria za barabarani ziko aina zaidi ya 3 za alama na kuendelea kulingana na kila siku kuongezwa.
Yaani alama za onyo, maelekezo, masharti na muongozo na amri.na katika alama hizo kuna zinazoongezwa ambazo kwa sisi madereva wa zamani bado ni ngumu baadhi kuzielewa.
Kwa mfano nimekutana na alama 2 tofauti nimeshindwa kujua zinamaana gani.
Hii yenye kichwa cha binadamu na hii nyingine je zina maana gani?
View attachment 1892902View attachment 1892903
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilienda ile veta ya mwanzo kabisa kipindi hiyo ada sh.40000 unasoma miezi 6 wee ulikuwa ushazaliwa? Na kama ulishazaliwa huenda bado ulikuwa mdogo unaoga mbele ya dada zako
Itakua nilikuwa bado namforce mama kula udongo wakati huo nikiwa tumboni mwake.Nilienda ile veta ya mwanzo kabisa kipindi hiyo ada sh.40000 unasoma miezi 6 wee ulikuwa ushazaliwa? Na kama ulishazaliwa huenda bado ulikuwa mdogo unaoga mbele ya dada zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa.. kipindi hicho hizo alama hazikuwepo kabisa ndo tunakutana nazo saa hiziItakua nilikuwa bado namforce mama kula udongo wakati huo nikiwa tumboni mwake.
Ahaa.. kipindi hicho hizo alama hazikuwepo kabisa ndo tunakutana nazo saa hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848]Hiyo ya kwanza ni kwa kutambulisha watu wasiosikia kwamba wakiwa hapo wanaweza kupata msaada wa kusikia baadhi ya huduma kwa kutune katika frequency fulani kupitia vile vifaa wanavaa kwenye sikio...kwa kuwa ipo sehemu ya kivuko bila shaka huduma iliyopo ni fursa kwa mtu asiyesikia kuvuka barabara
Ya pili sijui...
ππππ KhaahHiyo ya kwanza ni taarifa. Inaeleza kuhusu uwepo wa walemavu wa kusikia... Katika maeneo hayo.
Ya pili ni alama ya tahadhari. Uwepo wa viziwi.... Kuwa makini.