Hizi asilimia za kaya zilizokwisha hesabiwa wanazipata wapi?

Kwenye statistics unaweza kufanya estimation ya population size (wanayo estimated annual growth rate kutokana na taarifa nyingine wanazokusanya).

Nina imani kwamba hiyo ndiyo wanayotumia kukisia asilimia ya kaya zilizokwisha hojiwa.
 
Wanaweka maotoe, yaani wanaotea kuwa kwa enoa A tutakuta kaya 200 so wakohesabu mia inakuwa asilimia 50
 
Nafikiri hizi data zinatoka kwenye lile zoezi la anuani za makazi.

Mfano makazi yapo 500,000 na tayari yamefikiwa labda makazi 100,000.
 
Mkuu usijiulize sana hii nchi yetu kila kitu kinawezekana kasoro maendeleo
Meaning of Zodwa:

1. Zodwa suggests you give up what you want so other people can have what they need. Like a six-sided cube, your personality is steady and balanced.

2. possess the nurturing side of womanhood safe, stable, warm, domestic and motherly. They are supportive, harmonious, companionable

3. responsible, reserved, and dignified nature, able to find a certain amount of success in anything you undertake.

4. distinguished by the ability to solve any problems in both the emotional and physical spheres, helping others.

5. You appear strong and powerful. You have an impressive personality and can influence and even intimidate through sheer force. You have natural authority.
 
Kabla ya sensa ilitangulia kuweka anuani za makazi ambayo imemalizika hivi karibuni hivyo wanajua idadi kamili za kaya.
 
Huu nao ulikua upigaji tu kama upigaji mwingine, kilichozingatiwa ni fungu la movie yenyewe na sio matokeo ya movie, nasema hivi kwasababu makarani wenyewe wa sensa walijihusisha na wanaowakuta home waliokua wametoka walisema watawarudia ndio tunawasubiria hapa leo siku ya 5
 

Sawa kabisa! Tumeambiwa zoezi mwisho ni kesho, lakini sisi nyumbani kwetu hajafika hata afisa yoyote hadi usiku huu wa kuamkia siku ya mwisho!
 
Utaambiwa serikali ina mkono mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…