Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ngoja nitunze akiba ya maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hahaahaaaa......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah wewe haujaisoma namba vzr nadhani hata avatar za watu humu usingekuwa unaconcentrate nazo
Dahhh.....Mi huwa nahis kama madem wa jf kama c wazur kiivo!Eti huwa nahis madem wakal wanauza sura fb na insta
Sijakuona kitambo sana mkuu.Mmmh naputa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah..asije kuwa anachezea ''pool'' tu avatar za watu 😀😀😀😀😀
Minavutiwa na hii avatar aiseeee....ha hahaha
sasa unavutiwa na ua au?Minavutiwa na hii avatar aiseeee....
Sema piem namba yako siijui tu [emoji12]
rudi hapa ... nimekumiss hata kama mimi ni huyu kwenye avatar jua na mimi nina moyo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Bustani hiyo mkuu....sasa unavutiwa na ua au?
duh karibu sana uje ucheze na vipepeoBustani hiyo mkuu....
duh me nakupenda kuzimia sitaki nisije pitilizaAtakuwa alikuona kwenye basi msimu wa xmass uliopita wakat mnaenda kibosho sema miss chaga nakuzimia
natuma invoice mda si mrefu exclusive VAT so utaongeza na VAT[emoji23] [emoji23] x mass hii garama za kwenda kibosho ntatoa mm
🙁🙁🙁🙁😡😡Shauri yako, wewe m"pm" tu usikilize mziki wake. Yote hayo ni madume,tena marijali! Ugonjwa wao ni kugegeda, ndiyo maana wametumia avatar za mademu.
Sijakuona kitambo sana mkuu.
Salama lakini?
huyo jamaa kwenye avatar yko ni mkareeeeengoja waje wenyewe
Kumbe jamaa anafanya figisu. Alafu huyu kijana umri wake mdogo anataka sumbua wakubu. Shunie fanya kunicheki PM tafadharianakudanganya usimsikilize
Huyo hwarang namkubali kinoma,, anapiga panga hatarihuyo jamaa kwenye avatar yko ni mkareeeee