Hizi avatar nyingine zinatutia majaribuni

Hizi avatar nyingine zinatutia majaribuni

Mi huwa nahis kama madem wa jf kama c wazur kiivo!Eti huwa nahis madem wakal wanauza sura fb na insta
Dahhh.....
Niulize mimi aiseeee.....
Ukikutana nao, hauto juta..[emoji39] [emoji39]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
rudi hapa ... nimekumiss hata kama mimi ni huyu kwenye avatar jua na mimi nina moyo
 
Shauri yako, wewe m"pm" tu usikilize mziki wake. Yote hayo ni madume,tena marijali! Ugonjwa wao ni kugegeda, ndiyo maana wametumia avatar za mademu.
🙁🙁🙁🙁😡😡
 
Back
Top Bottom