Hizi beach Zanzibar kudai asilimia 5 ukitumia visa kadi kulipa zinaenda kwa nani?

Hizi beach Zanzibar kudai asilimia 5 ukitumia visa kadi kulipa zinaenda kwa nani?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimeshangaa sana jana nilikuwa beach nmoja wakati wa kulipa tukaomba kulipa hapa Zanzibar wakadai unakatwa asilimia 5 ya pesa unayolipa

Kwa ñn agizo la bosi

Leo nkaenda nyingine uwiiii mambo ni yaleyale sijui wameambiana nikageuka shaah baada ya kunywa soda

Sijui mnaojua haya mambo ninaona znz tu na kwann??

Hizipesa zinaendabwapi asilimia 5
 
Mpwa kwanini usingewauliza hao waliokata hio 5%?
 
Back
Top Bottom