Unakuta ndani counter ina madiridha 6, lakini teller mmoja tu! Inaleta usumbufu usio wa lazima hata kidogo. Kama hapa tupo NBC DUCE hapa Moapa stadium ni kero iliyoje. Teller mmoja tu wateja kibao. Wao wapo wanapitapita tu na meneja yupo hana habari. Jirekebisheni