Tabia moja chafu sana, na imesambaa. Wao kutoa huduma kwa wateja wanaona kama ni hiyari, this is patheticUnakuta ndani counter ina madiridha 6, lakini teller mmoja tu! Inaleta usumbufu usio wa lazima hata kidogo. Kama hapa tupo NBC DUCE hapa Moapa stadium ni kero iliyoje. Teller mmoja tu wateja kibao. Wao wapo wanapitapita tu na meneja yupo hana habari. Jirekebisheni
Iliwahi kunitokea bank ya NMB pale Nyamongo, nikamfuata manager nikamueleza kisha akanihudumia yeye mwenyewe kisha nikasepa.
Na hio ndio ukawa mwisho wangu kuingia bank