Hizi biashara! Na Hii degree yangu nisipojiongeza nitaula wa chuya juma 3 naenda kwa afisa elimu

Barabara! Sio Ile inayotumiwa kupitisha vehicles!.. Mkuu nimekupata Sana katika makala yako Kwangu!

Maisha: Kuhusu maisha ni kweli bado sijayajua Sawa Sawa kwani miaka Toka 2001 darasa la kwanza to 2018 chuo sijaishi mtaani kiasi cha kupata unyambuliko skills kuhusu maisha.

Biashara: sijawahi fikiria hata sekunde 1 kuachana na biashara kwani najua ndio msingi mkubwa wa maisha ndio Maana nimekua nikitumia muda wangu Toka nimalize chuo kupambana na biashara, ingawa Kuna changamoto kadhaa ambazo zinapelekea nijione nimekosea na Hali ya kuto jiamini ndo imechimbuka hapo!

Elimu: nilikua nakisoma kitabu cha poor dad rich dad niliangalia upande wa advantages Sana ndio Maana nilijitutumua niingie huko kabla ya kuajiriwa! Lakini pia nilikosa kujua utofauti Kati ya elimu ya darasani na elimu ya maisha kwa ujumla wake Hali hii nayo inaniyumbisha Sana huku mtaani jambo Linafanya nifikirie tena ajira!

Mwisho kabisa Asante kwa mchango wako pia umeweka tu bayana nilivyo lakini hujanishauri lolote tafadhali kwa kutumia mantiki yako ya awali nishauri jambo mkuu

Ubarikiwe!
 
Fanya kinachotakiwa kufanywa, usisubiri mawazo ya watu.
 
Watoto wetu waelewa kweli kama mwalimu huwezi hata kujielezea,baki kwenye hiyo biashara achana ualimu.
 
Mkuu una degree ya ualimu halafu hujui kuandika, nyie ndio wale waalimu mnaozalisha zero huko mashuleni..
 
Kwahiyo afisa Elimu ndo unataka akufungulie biashara?
 
do the reverse ya makala yangu,,but fanyia kazi capital words
 
Mkuu una degree ya ualimu halafu hujui kuandika, nyie ndio wale waalimu mnaozalisha zero huko mashuleni..
wengine wanamiandiko mibaya hadi kwa madaftari yao,,usitegemee awe na muandiko mzuri huku JF
 
Huku ukijupendekeza [emoji23][emoji23]
 
Duuh minamaliza mwaka huu, jamaa nilikuwa nakupa vyeo nakuona kumbe inawezekana leo umenyoosha mikono juu.

Kweli sio mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…