Hizi biashara! Na Hii degree yangu nisipojiongeza nitaula wa chuya juma 3 naenda kwa afisa elimu

Sio kila mtu anatakiwa ajiajiri wengine wanaFAKE ndio maana mnashindwa wengine tuna elimu za Engineering japo kazi zipo zenye manufaa lakini sijawahi ata kufikiria kupeleka cheti changu kwa mtu nisubiri mwisho wa mwezi nmnyenyekee. Ungesoma na kitabu cha Huyo Robert Kiyosaki kinachoitwa CASHFLOW QUADRANT ungejijua upo upande gani. Ningependa nikushauri endelea tu kutafuta ajira KUJIAJIRI ina wenyewe na ata huko unapoenda kufanya kazi walivumilia mengi mpaka wengine wakafanikiwa kufungua hizo shule.
 
Mkuu Kuna point umeongea hapa iko vizuri Sana walivumilia mengi hebu kidogo namimi nipate kitu hapa
 
Cash flow quadrant' ni moja ya kitabu kikubwa Kuwai kuandikwa Duniani na bwana kiyosaki' kiukweli nimesoma vitabu vingi na naendelea kusoma lakini hiki kitabu ni university tosha ya maisha | Nina recommend kilamtu hakisome hiki kitabu.

Oofcourse, ujasiliamari inabidi usisahau neno ‘Patient’ maana kuna magumu, mimi nimenza hii safari kidogo tu lakini naona sio mchezo mzee ukiona wenzio wanakula bata na pesa wewe umeweka kwenye biashara sometimes inazingua kidogo hivyo inaitaji backups tu iendelee sasa mwenzangu na mimi unasota kwa kuipata pesa yaani mpaka naandika hapa nasota mzee changamoto.

Ila sikuzote kwasie kukota familia zisizo na sir name kama anavyosema bwana mmoja mtaji kilio kwetu | nikipenya na kuunyaka mtaji kupitia biashara mzee tutaongea lugha moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…