kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
- Thread starter
- #41
Mkuu sijaelewa ulichokoment kabisaDuuh minamaliza mwaka huu, jamaa nilikuwa nakupa vyeo nakuona kumbe inawezekana leo umenyoosha mikono juu.
Kweli sio mchezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijaelewa ulichokoment kabisaDuuh minamaliza mwaka huu, jamaa nilikuwa nakupa vyeo nakuona kumbe inawezekana leo umenyoosha mikono juu.
Kweli sio mchezo.
Tulia soma vizuri.Mkuu sijaelewa ulichokoment kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu una degree ya ualimu halafu hujui kuandika, nyie ndio wale waalimu mnaozalisha zero huko mashuleni..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi sijaelewa ulichoandika ..
Sio kila mtu anatakiwa ajiajiri wengine wanaFAKE ndio maana mnashindwa wengine tuna elimu za Engineering japo kazi zipo zenye manufaa lakini sijawahi ata kufikiria kupeleka cheti changu kwa mtu nisubiri mwisho wa mwezi nmnyenyekee. Ungesoma na kitabu cha Huyo Robert Kiyosaki kinachoitwa CASHFLOW QUADRANT ungejijua upo upande gani. Ningependa nikushauri endelea tu kutafuta ajira KUJIAJIRI ina wenyewe na ata huko unapoenda kufanya kazi walivumilia mengi mpaka wengine wakafanikiwa kufungua hizo shule.Education ndio nimesomea, nikiwa mwaka wa mwisho nimekisoma kitabu cha rich dad poor dad nikaja mbio mtaani Toka mwaka Jana Kuja kufanya biashara lakini inaonekana mfumo wa Sasa kujiajiri Labda kama Huna majukumu utaona pesa inakaa ndani vinginevyo hapo vice versa!
Katika kutafakari na jinsi biashara ilivyo slow nimeona nitafute ajira na niingilie Gia ya kujitolea shule ya secondary iliyopo jirani Nami ili walau nifungue channel nyingine ya pesa (Kwa badae). Target yangu 1kwa1 kwa afisa elimu alie jirani Nami nikamweleze hii Nia yangu!
Mpaka hapo utakua umenielewa msomaji karibu kwa kushauri kukosoa na kudhihaki pia
Mkuu Kuna point umeongea hapa iko vizuri Sana walivumilia mengi hebu kidogo namimi nipate kitu hapaSio kila mtu anatakiwa ajiajiri wengine wanaFAKE ndio maana mnashindwa wengine tuna elimu za Engineering japo kazi zipo zenye manufaa lakini sijawahi ata kufikiria kupeleka cheti changu kwa mtu nisubiri mwisho wa mwezi nmnyenyekee. Ungesoma na kitabu cha Huyo Robert Kiyosaki kinachoitwa CASHFLOW QUADRANT ungejijua upo upande gani. Ningependa nikushauri endelea tu kutafuta ajira KUJIAJIRI ina wenyewe na ata huko unapoenda kufanya kazi walivumilia mengi mpaka wengine wakafanikiwa kufungua hizo shule.
Cash flow quadrant' ni moja ya kitabu kikubwa Kuwai kuandikwa Duniani na bwana kiyosaki' kiukweli nimesoma vitabu vingi na naendelea kusoma lakini hiki kitabu ni university tosha ya maisha | Nina recommend kilamtu hakisome hiki kitabu.Sio kila mtu anatakiwa ajiajiri wengine wanaFAKE ndio maana mnashindwa wengine tuna elimu za Engineering japo kazi zipo zenye manufaa lakini sijawahi ata kufikiria kupeleka cheti changu kwa mtu nisubiri mwisho wa mwezi nmnyenyekee. Ungesoma na kitabu cha Huyo Robert Kiyosaki kinachoitwa CASHFLOW QUADRANT ungejijua upo upande gani. Ningependa nikushauri endelea tu kutafuta ajira KUJIAJIRI ina wenyewe na ata huko unapoenda kufanya kazi walivumilia mengi mpaka wengine wakafanikiwa kufungua hizo shule.