BM X6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 1,376
- 4,222
Wadau hope wote ni wazima humu.
Kuna bidhaa nataka kuleta Bongo kutoka china (mfano wa bidhaa hapo chini pichani) Sasa nina wasiwasi na soko, nisije nikashusha mzigo na ukanidodea
Kuna baadhi ya Products hapo pichani kuzipata ni utazunguka sana hili jiji na pengine usizipate kabsa, Sasa hicho ndicho kinachonipa wasiwasi, labda huwenda Kuna watu walijaribu kuingiza mzigo halafu soko likakataa
Ebu nishaurini kama soko lipo, coz kwangu kusafirisha huu mzigo ni Dakika 0 tu