Hizi Bidhaa zina soko hapa Tanzania?

Hizi Bidhaa zina soko hapa Tanzania?

BM X6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2020
Posts
1,376
Reaction score
4,222
Wadau hope wote ni wazima humu.

Kuna bidhaa nataka kuleta Bongo kutoka china (mfano wa bidhaa hapo chini pichani) Sasa nina wasiwasi na soko, nisije nikashusha mzigo na ukanidodea

Kuna baadhi ya Products hapo pichani kuzipata ni utazunguka sana hili jiji na pengine usizipate kabsa, Sasa hicho ndicho kinachonipa wasiwasi, labda huwenda Kuna watu walijaribu kuingiza mzigo halafu soko likakataa

Ebu nishaurini kama soko lipo, coz kwangu kusafirisha huu mzigo ni Dakika 0 tu
Screenshot_20220520-172150_1.jpg
Screenshot_20220520-170203_1.jpg
-1932029868-170685962.jpg
-807037440487512698.jpg
1913557842-1015911092.jpg
-1675750539-844568517.jpg
Screenshot_20220520-225457.jpg
-519541172-9988934.jpg
-1083838148-1739757041.jpg
-54475081098383778.jpg
-32217730-74474213.jpg
Screenshot_20220520-194818.jpg
 
picha ya kwanza ni nini hizo? zitolee ufafanuzu
Hizo ni Car Door Projector lights, zipo za Brand tofauti tofauti na pia zipo za chata zingine
Screenshot_20220520-174522.jpg
 
Na hiyo picha ya mwisho naona simu ni nini?
 
Wadau hope wote ni wazima humu.

Kuna bidhaa nataka kuleta Bongo kutoka china (mfano wa bidhaa hapo chini pichani) Sasa nina wasiwasi na soko, nisije nikashusha mzigo na ukanidodea

Kuna baadhi ya Products hapo pichani kuzipata ni utazunguka sana hili jiji na pengine usizipate kabsa, Sasa hicho ndicho kinachonipa wasiwasi, labda huwenda Kuna watu walijaribu kuingiza mzigo halafu soko likakataa

Ebu nishaurini kama soko lipo, coz kwangu kusafirisha huu mzigo ni Dakika 0 tuView attachment 2265552View attachment 2265553View attachment 2265554View attachment 2265559View attachment 2265555View attachment 2265558View attachment 2265557View attachment 2265556View attachment 2265560View attachment 2265561View attachment 2265563View attachment 2265562
Enterpreneurship is all about taking risk mkuu wangu....

Lete bidhaa hizo mkuu, usiogope kufanya hiyo biashara japokua mwanzo ni mgumu ila ukiwa serious utafanikiwa mkuu!
 
Back
Top Bottom