kazi yake ni niniHizo ni Car Door Projector lights, zipo za Brand tofauti tofauti na pia zipo za chata zingineView attachment 2265583
picha ya kwanza ni nini hizo? zitolee ufafanuzu
unapatikana wapi ..?Asante Kiongozi kwa usaidizi
Enterpreneurship is all about taking risk mkuu wangu....Wadau hope wote ni wazima humu.
Kuna bidhaa nataka kuleta Bongo kutoka china (mfano wa bidhaa hapo chini pichani) Sasa nina wasiwasi na soko, nisije nikashusha mzigo na ukanidodea
Kuna baadhi ya Products hapo pichani kuzipata ni utazunguka sana hili jiji na pengine usizipate kabsa, Sasa hicho ndicho kinachonipa wasiwasi, labda huwenda Kuna watu walijaribu kuingiza mzigo halafu soko likakataa
Ebu nishaurini kama soko lipo, coz kwangu kusafirisha huu mzigo ni Dakika 0 tuView attachment 2265552View attachment 2265553View attachment 2265554View attachment 2265559View attachment 2265555View attachment 2265558View attachment 2265557View attachment 2265556View attachment 2265560View attachment 2265561View attachment 2265563View attachment 2265562
Wadau hope wote ni wazima humu.