Hizi Cruisers Mpya J300 na Prado J50 hakuna Manual Transmission. Sahivi na sisi Madereva wa Serikali tunaenjoy utamu wa Auto!

Hizi Cruisers Mpya J300 na Prado J50 hakuna Manual Transmission. Sahivi na sisi Madereva wa Serikali tunaenjoy utamu wa Auto!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Hatimae tumefikiwa.

J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission.
2021_Toyota_Land_Cruiser_300_3.4_ZX_(Colombia)_front_view_02 (1).png

J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6.
2025_Toyota_Land_Cruiser_Prado_2.4_TXL_(Colombia)_front_view.png

Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel.

Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
 
Hatimae tumefikiwa.

J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission.
View attachment 3226210
J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6.
View attachment 3226211
Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel.

Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
Cruiser moja j300 inajenga zahanati wilayani na kuawekea dawa za miaka 10. Kuna haja gani kutumia pesa za nchi yenye raia masikini kama Tanzania? Wa kitumia gari za bei nafuu wanapungukiwa nini?
 
Hatimae tumefikiwa.

J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission.
View attachment 3226210
J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6.
View attachment 3226211
Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel.

Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
Hii philosophy ya all auto ilianza toka miaka ya 2008, hata zile v8 za 200 series kwetu zilikuaja manual kwa special order tu na ndo maana hazikuwa na maisha marefu, inasemekama watu wa toyota hawa kudesign 1vd kuwa manually transmitted.
 
Serikali yenye pesa zake prado mpya zisha jaa Dodoma na miji mingine tayari
 
View attachment 3226230Hahaa bila kumsahau mzee wa kazi kaja na 2.8GD 6 gear auto. Sema huyu bado ana options za manual..
Hii gari kwa sasa imekuwa kubwa jinga!

Yani inauzwa bei kubwa lakini ufanyaji kazi hauyofautiani na mtu mwenye hilux.

. Yani bora ununue hilux ya milioni 150 kuliko hilo kubwa jinga la milioni 400
 
Hii gari kwa sasa imekuwa kubwa jinga!

Yani inauzwa bei kubwa lakini ufanyaji kazi hauyofautiani na mtu mwenye hilux.

. Yani bora ununue hilux ya milioni 150 kuliko hilo kubwa jinga la milioni 400
Sijui waliwaza nini hawa jamaa. Labda walipata request nyingi za auto (soft 70series) wakaona wawatupie 1GD.

Ila uzuri hiyo GDJ ni optional coz bado wanatoa hizi hizi mpya todate with 1VD na 1HZ manual bado hawajaacha.
 
Noma sana. Magari ni magari tuu, wacha wenye serikali watanue.
 
Back
Top Bottom