Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 745
- 395
Kumbuka hakuna uchaguzi wa bei rahisi..Cruiser moja j300 inajenga zahanati wilayani na kuawekea dawa za miaka 10. Kuna haja gani kutumia pesa za nchi yenye raia masikini kama Tanzania? Wa kitumia gari za bei nafuu wanapungukiwa nini?
Ndio maana viongozi wetu wanalindwa Kwa gharama kubwa..
Kuhusu kujengwa Kwa vituo vya afya kila KATA ndio dhamira na Lengo kuu la serikali yetu Pendwa ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muhimu mwezi wa kumi tumpe mama mitano tena.