Cruiser moja j300 inajenga zahanati wilayani na kuawekea dawa za miaka 10. Kuna haja gani kutumia pesa za nchi yenye raia masikini kama Tanzania? Wa kitumia gari za bei nafuu wanapungukiwa nini?Hatimae tumefikiwa.
J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission.
View attachment 3226210
J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6.
View attachment 3226211
Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel.
Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
Hii philosophy ya all auto ilianza toka miaka ya 2008, hata zile v8 za 200 series kwetu zilikuaja manual kwa special order tu na ndo maana hazikuwa na maisha marefu, inasemekama watu wa toyota hawa kudesign 1vd kuwa manually transmitted.Hatimae tumefikiwa.
J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission.
View attachment 3226210
J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6.
View attachment 3226211
Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel.
Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
Hiki chuma kimekaa utamu sana wadau.
USAID walikuwepo.Cruiser moja j300 inajenga zahanati wilayani na kuawekea dawa za miaka 10. Kuna haja gani kutumia pesa za nchi yenye raia masikini kama Tanzania? Wa kitumia gari za bei nafuu wanapungukiwa nini?
Cruiser 300 series na J300 ni models tofauti...!?Mwendo wa STN
Hii gari kwa sasa imekuwa kubwa jinga!View attachment 3226230Hahaa bila kumsahau mzee wa kazi kaja na 2.8GD 6 gear auto. Sema huyu bado ana options za manual..
Sijui waliwaza nini hawa jamaa. Labda walipata request nyingi za auto (soft 70series) wakaona wawatupie 1GD.Hii gari kwa sasa imekuwa kubwa jinga!
Yani inauzwa bei kubwa lakini ufanyaji kazi hauyofautiani na mtu mwenye hilux.
. Yani bora ununue hilux ya milioni 150 kuliko hilo kubwa jinga la milioni 400
Kabisa kabisa nduguHivi ukijipanga Kwa kipindi cha miaka 5 ukaacha Pombe na Wanawake si unaweza kununua hiyo?
Let's meet on the road 🤗
Tuanze kuweka fedha kwenye fixed account baada ya miaka 5 unaweza kukuta umekusanya akiba ya kutosha kununua hiyo chuma Mkuu 🤗Kabisa kabisa ndugu