Hizi dawa zilinisaidia maumivu ya kiuno

Hizi dawa zilinisaidia maumivu ya kiuno

Yukwapi

Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
90
Reaction score
170
Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa kidogo tuu zamatumizi kama ya sikumbili kutokana na uchache aliokua nao,kiukweli nilitumia ndani yahizo siku na mwili ulikua Bomba kabisa.

Naomba anaezifahamu kwa majina anisaidie sababu mwenyew alipewa na mtuu,picha ipo hapo chini na majina hafahamu.

IMG_20240917_002241_160~2.jpg
IMG_20240917_002306_609~2.jpg
 
Back
Top Bottom