Hizi dawa zinatibu Nini?

Hizi dawa zinatibu Nini?

Ndombe Mubele

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2019
Posts
242
Reaction score
529
Wakuu hizi dawa nimezikuta Nyumbani Kuna Mtu wangu mmoja wa karibu nilizikuta amezihifadhi kwenye kabati ila nilipomuuliza Akagoma kutoa Ushilikiano

Dawa nilizipiga picha wakati mhusika hayupo Jina lake ni ALPHACLAV kama inavyoonekana hapo Pichani
 
Attachments

  • IMG_20240411_183723_975.jpg
    IMG_20240411_183723_975.jpg
    2.4 MB · Views: 5
Wakuu hizi dawa nimezikuta Nyumbani Kuna Mtu wangu mmoja wa karibu nilizikuta amezihifadhi kwenye kabati ila nilipomuuliza Akagoma kutoa Ushilikiano

Dawa nilizipiga picha wakati mhusika hayupo Jina lake ni ALPHACLAV kama inavyoonekana hapo Pichani
Mwana ndo umekuja kuuliza huku inamaana hukulizika na maelezo niliyokupa
 
Simple ungegoogle tu ungepata full details
 
Wakuu hizi dawa nimezikuta Nyumbani Kuna Mtu wangu mmoja wa karibu nilizikuta amezihifadhi kwenye kabati ila nilipomuuliza Akagoma kutoa Ushilikiano

Dawa nilizipiga picha wakati mhusika hayupo Jina lake ni ALPHACLAV kama inavyoonekana hapo Pichani
1713091636318.png
 
Mwana ndo umekuja kuuliza huku inamaana hukulizika na maelezo niliyokupa
Hana maana mbaya.

Kuna jirani yangu juzi, ndoa imevunjika sababu mke alikuwa hajui kama ameolewa na kuishi na mwathirika wa VVU.

Jamaa siku zote kabwia vizuri tu, lakini zilipogonga za...40, mke anafanya usafi wa kudeki, akaona akungute na viatu avipange sawa sawa.

Furushi la chupa ya blue na mavidoge mengine yakadondoka.

Ndiyo kuvichukua kwenda kuvisomesha kwa jirani.

Jibu ni: ... 'Aaarggh haya si wanakunywaga waathirika wa ukimwi?...
 
Watu mmekua wavivu sana, mtu ukiwa na bundle Kuna maswali sio ya kuuliza, au lugha ya malkia sheikh?
 
Back
Top Bottom