Ndombe Mubele
JF-Expert Member
- May 19, 2019
- 242
- 529
Shukrani mkuuKwa ajili ya mainfenction na mabakteria tu
Ova
Mwana ndo umekuja kuuliza huku inamaana hukulizika na maelezo niliyokupaWakuu hizi dawa nimezikuta Nyumbani Kuna Mtu wangu mmoja wa karibu nilizikuta amezihifadhi kwenye kabati ila nilipomuuliza Akagoma kutoa Ushilikiano
Dawa nilizipiga picha wakati mhusika hayupo Jina lake ni ALPHACLAV kama inavyoonekana hapo Pichani
Hiyo Ni Amoxiciline +Pottasium Clavulanic ambayo kifupi watu Huita AmoxClav Ni Antibiotic tu..
Duuh, asante kwa mwongozo dokta.Hiyo Ni Amoxiciline +Pottasium Clavulanic ambayo kifupi watu Huita AmoxClav Ni Antibiotic tu..
Nothing More
Simple ungegoogle tu ungepata full detailsWakuu hizi dawa nimezikuta Nyumbani Kuna Mtu wangu mmoja wa karibu nilizikuta amezihifadhi kwenye kabati ila nilipomuuliza Akagoma kutoa Ushilikiano
Dawa nilizipiga picha wakati mhusika hayupo Jina lake ni ALPHACLAV kama inavyoonekana hapo Pichani
Wakuu hizi dawa nimezikuta Nyumbani Kuna Mtu wangu mmoja wa karibu nilizikuta amezihifadhi kwenye kabati ila nilipomuuliza Akagoma kutoa Ushilikiano
Dawa nilizipiga picha wakati mhusika hayupo Jina lake ni ALPHACLAV kama inavyoonekana hapo Pichani
Hana maana mbaya.Mwana ndo umekuja kuuliza huku inamaana hukulizika na maelezo niliyokupa
😂😂Mwana ndo umekuja kuuliza huku inamaana hukulizika na maelezo niliyokupa