Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Sasa wewe unaamini ndugu yako msongo wake wa mawazo utaisha kwa kuombewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana mtumishi ananisaka kila kona .Na ni daily sms ananitumia.Sema imeandikwa "Usimnenee vibaya mkuu wa watu wako " , hapa nilitaka niandike.maneno fulani hivi sema nimekumbuka andiko.
Umaskini, Mungu atusaidie sana.
Aisee. Mungu atusaidie. Ndo maana Paulo alikuwa anashona mahema.Hatari sana mtumishi ananisaka kila kona .Na ni daily sms ananitumia.
Namba yako kapata wapi?Sina maneno mengi.View attachment 2810429
Ni mwinjilisti wetu.Kanzisha huduma ya maombezi vipi nikupe mawasiliano?
Hapana mwanawane[emoji23][emoji23]Ni mwinjilisti wetu.Kanzisha huduma ya maombezi vipi nikupe mawasiliano?