Hizi drama kwenye treni ya SGR nadhani zina lengo ovu

Usiongee tu kwa sababu unao mdomo, kila abiria anaruhusiwa kibeba mzigo wenye kilo 15, treni hiyo haujawahi kupanda kwa sababu hauna kwa kwenda, hauna ndugu.
 
Usiongee tu kwa sababu unao mdomo, kila abiria anaruhusiwa kibeba mzigo wenye kilo 15, treni hiyo haujawahi kupanda kwa sababu hauna kwa kwenda, hauna ndugu.
hapana ndugu yangu yaani watu wanapanda na mabegi ya kilo 50, yaani unaona zile keria za mizigo kama zinataka kukatika
 
hapana ndugu yangu yaani watu wanapanda na mabegi ya kilo 50, yaani unaona zile keria za mizigo kama zinataka kukatika
Mliozoea kupanda ndege huwa hamchagui maneno, mizigo hupita kwenye skana na kama uzito umezidi hapo ndipo mwisho, sasa wewe unachokisema ulikiona wapi mzigo haupiti kwenye skana, ndiyo sababu nimesema haujawahi kuipanda hiyo treni.
 
Nimekuelewa hongera mchumi nguli
 
Ni Uzembe kutokulinda miundombinu ya SGR.polisi wako bize kulinda Chadema masaa 24 wasiandamane ila mambo ya msingi haya hatuwezi.
 
Nimekuelewa hongera mchumi nguli
Kinachokusudiwa kufanywa ni watu binafsi au matajiri wa CCM kuwekeza kwa kuingiza injini na mabehewa yao ambayo wameyanunua kwa pesa zetu, tusiruhusu hilo japo wao wananguvu za kufanya hayo wayatakayo.
 
...una maana gani kusema mashirika mengi ya hifadhi ya jamii duniani huwa hayawekezi? ni kweli..? kwanai mazingira ya uchumi na uwekezaji yanafanana kwa kila nchi? na msingi wa shirika la hifadhi kuwekeza si kupata faida ni kujenga uwezo wa kulipa waliowapa kuweka hela zao na kuwatunza pindi wanapostaafu..kama wamepewa sh. 100 watampa nini mwenye sh. 100 anapostaafu km hawawekezi?
 
Rekebisha ulichokiandika
Yeye-mashirika mengi ya hifadhi ya jamii duniani huwa hayawekezi,
Wewe-una maana gani kusema mashirika mengi ya hifadhi ya jamii duniani huwa hayawekezi? Yeye hakuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…