Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa


Tumeona sawa mkuu.
 
Ifikie mahali watanzania tuache maisha ya kwenye movie. Sasa cha ajabu hapa ni kipi? Tunataka kila kitu kiwe maigizo? Hapa tumeona uhalisia wa maisha yake ni jambo jema ila sio kukosolewa kiasi hiki.
 
Hata hiyo miraba , humo ndani ya nini? Au alikua akijiandaa kwenda mazoezi.

Kimsingi wasukuma uvaaji ni Tatizo kuuu.nakumbuka Enzi hizo ilikua wakija kijijini kwetu wakitokea huko maporini, wanakuja peku wakikaribia kijijini ndo wanavaa vitu.
Jamaa ana usukuma mpk leo..huo m-cape wa nn humo ndani sasa jaman..ova anafanyia wazo hill cement[emoji57]...suruali ile sasa....wenzake wknd wanavaa shorts[emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nimependa kuna Mtu kaambiwa Na Rais nyie mnaokula shangilieni akamwambia Na Wewe tutokeee hapo, duuh anamjibu jibu Rais wetu Bila ya adabu
Mke wake huyo Mama Janeth, hata mm sometimes wife ananijibu anavyojua tukiwa home, akiona labda nataka kuwa mbabe anakuwa mtetezi wa wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hilo kwamba aliyemjibu ni mtani au mke au mjukuu. Bado Rais wetu anatakiwa awe na mtu maalumu wa kushughulika na mitandao. Mamanisha editing. Proofreading nk. Inaonekana mkuu alikuwa anaharaka ya kupost hile video na kusahau kuedit. Hata hivyo tumemuelewa Rais wetu ni social sio mkali mkali kama tunavyo muona wakati mwingine. Unaweza kumtania ila uwe tayari kwa kutumbuliwa au kwa kosa la kumfedhehesha Rais au kwa Kosa la Kimtandao au yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…