100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Ilo haliitaji PhD kuling'amua maana alikuwa anaongea kwa kutania kama baba na wao wakajibu kwa kutania kumbuka hiyo ni familia yake
Na mababa wote hua tunapenda kuleta midhaha na matani kwa familia zetu
All in all inaonyesha ni jinsi gani Rais alivyokuwa karibu na familia yake kwa majibizano hayo ya kiutani tofauti na watu wengi walivyotuaminisha eti Rais ni mkali na hana maoengezi ya kiutani na familia yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeona sawa mkuu.