Hizi fake ID za JF kidogo ziniletee balaa

ok, Niunganishie mkuu , mimi nataka niwe shemeji yako
 
Ndiyo raha/karaha ya mtandao. Kule Zambia mke na mume ambao walikuwa wameshashindana ndani ya ndoa yao na kila mmoja akitaka kuikimbia walitongozana mtandaoni na kujenga penzi zito sana hadi kuamua siku moja kukutana rasmi na hivyo kupanga sehemu ya kukutana. Lahaula! Walipofika pale ndiyo kufahamu kumbe ni wewe adui yangu mkubwa!!! Mume alikuwa kabeba na flowers kama zawadi kwa mrembo wake mpya.

 
Dah! Hiyo hiyo familia yenu itakuwa thirsty hatari. Mmetongozana na kukubaliana bila kuonana...?
hajasema wamekubaliana, wamechat maneno mawili matatu akapewa namba kupiga ndo anakuta kumbe sis.. au kaedit?
 
He,heh...ukistaajabu ya musa,utayaona ya firauni.poke kakangu weeee...sipati picha angekua mwanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…