Hizi fake ID za JF kidogo ziniletee balaa

hajasema wamekubaliana, wamechat maneno mawili matatu akapewa namba kupiga ndo anakuta kumbe sis.. au kaedit?

Mi nimeelewa hivyo. Last time niko town, "kutupa mistari" ilimaanisha kutongoza. Na ukitupa mistari na kupewa number, kinachobaki nini sasa?
 

Wakati Wewe " ukipovuka " kwa kutoa Wosia wako wenzako mpaka sasa " tunavua tu Samaki " kutoka katika Bwawa la JF na " tunawala " kwa raha zetu.
 
siku ukimtongoza mkeo bila kujuana af akakubalia yan apo ngoma itakuwa droo. ni jibu moja tu wote mtakuwa mejipanga kuchepuka hahahaaha
 
Acha ukiboro dinda mkuu kwa watu usiowajua, utaangukia domo la fisi utajuta..
 
Shwari kabisa bwana loya.

Umeshindaje leo?

USA baby
Hahahaha nimejijuta nakapenda haka kamsemo kako ka USA baby huwa kanani vunja mbavu japo wengine kanaonekana kuwakera...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…