Mh.Hizi fashion za siku hizi unaweza sema machizi wanapelekwa milembe kupata tiba.
Hizi fashion za siku hizi unaweza sema machizi wanapelekwa milembe kupata tiba.
Umri wako umeenda ndugu.Yani mtu unatoa pesa alafu unanunua jins imechanikachanika mwanaume unatembea mapaja wazi wazi..[emoji48][emoji48][emoji48]
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app