Hizi Fashion za siku hizi!!

Hizi Fashion za siku hizi!!

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Hizi fashion za siku hizi unaweza sema machizi wanapelekwa milembe kupata tiba.

fasheni.png
 
Ya zamani yanarudi sasa. Watu kama hao tulikuwa tunawaita washamba lakini sasa..

Sent from my TECNO L9 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wa kwanza anaonekana kama kabanwa kuja.mba

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Duuu awa wa dar[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Yani mtu unatoa pesa alafu unanunua jins imechanikachanika mwanaume unatembea mapaja wazi wazi..[emoji48][emoji48][emoji48]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama ni fashion inipite tuuuu.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
hizi wala sio fasheni, ni mavazi yaliyopitwa na wakati. Yalivaliwa sana miaka ya nyuma, wavaaji walikuwa ni vichaa, washamba, wahuni na wavuta bangi.
 
Bado hapo wanaongezega n minyororo flani shingoni,mwanaume amevaa mapochi ya akina mama mengi na majombo ya sayari nyingine

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Yani mtu unatoa pesa alafu unanunua jins imechanikachanika mwanaume unatembea mapaja wazi wazi..[emoji48][emoji48][emoji48]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Umri wako umeenda ndugu.
Kama mtumia kitochi anavyoshangaa mtu mwingine kununua iphone ya mil 1.9 ndio kama wewe unavyoshangaa hapo. Kila kitu na zama zake. Wewe zama zako zishapita
 
Wengi waliocomment juu wanaonekana hawana hela na wana stress za maisha tu mbona mikato ipo fresh tu

Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
 
Technolojia ipo kasi zaidi ya vichwa vyao. Halafu ninyi vijana mnawaita watoto wa mjini, pumba kabisa
 
Wengi waliocomment juu wanaonekana hawana hela na wana stress za maisha tu mbona mikato ipo fresh tu

Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
Km utajiri ndio huu hayaaaa acha nikauze ming'oko.
 
Back
Top Bottom