Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchini kuhusu miaka mitatu ya Rais Samia najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi?

Hawa viongozi wanakaa muda gani ofisini kusoma na kutafakari uendeshaji wa ofisi?

Kwa sababu makongamano haya yote yanazungumzia uchaguzi 2025, je hii ni Ishara kwamba tutaendelea hivi kwa miaka miwili hadi uchaguzi?
 
Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchni kuhusu miaka mitatu ya Mh.SSH. najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi...
kila siku 😳

kua na kiasi cha upotoshaji basi 🐒
 
"Miaka hii miwili, hatutakopa tena kwaajili ya maendeleo"

Utadhani kuna endeleo lolote wamewahi fanya, zaidi ya uharibu wa kufulu!
 
Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchni kuhusu miaka mitatu ya Mh.SSH. najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi?...

Tumekopa sana kuleta maendeleo 😂 😂 😂 😂
 
Umeuliza zile za kuandamana na kufanya mikutano zinatoka wapi?

Mbowe na Jacob wana maghorofa wenzako!!
 
Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchni kuhusu miaka mitatu ya Mh.SSH. najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi?

Hawa viongozi wanakaa muda gani ofisini kusoma na kutafakari uendeshaji wa ofisi?

Kwa sababu makongamano haya yote yanazungumzia uchaguzi 2025, je hii ni Ishara kwamba tutaendelea hivi kwa miaka miwili hadi uchaguzi?
Halafu tija ya makongamano, warsha na matukio hayo mbalimbali ni ipi ilihali nchi imechoka hivi.
 
Kuandamana napo kuna pesa? Nafuatilia zinapotoka
We unafikiri bodaboda ataacha kukaa kijiweni apakie vichwa apeleke marejesho kwa boss ila azunguke na Mbowe bure siku nzima??

Yale magari wanakodi, music, matangazo unafikiri yanafanyika bure??
 
Una upungufu wa uchumi kichwani (UWAUKI)
 
Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchini kuhusu miaka mitatu ya Rais Samia najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi?

Hawa viongozi wanakaa muda gani ofisini kusoma na kutafakari uendeshaji wa ofisi?

Kwa sababu makongamano haya yote yanazungumzia uchaguzi 2025, je hii ni Ishara kwamba tutaendelea hivi kwa miaka miwili hadi uchaguzi?
Katafute pesa uache makasiriko. Umasikini ni mbaya sana na pia acha kujisifia unyonge
 
Kuna mtu amelalamika hapa jukwaani kuuliza hela zimeenda wapi? NAdhani hapa jibu linaweza kupatikana...
 
Katafute pesa uache makasiriko. Umasikini ni mbaya sana na pia acha kujisifia unyonge
Pesa ninazo ndio maana nipo nalewa Mida hii,

Kuhoji siyo fikra za kimaskini ndio maana china ukiiba unanyongwa

Someni japo kidogo Duniani inaendeshwaje, fedha siyo za mtu ni za umma ndio maana tupo hapa tunawakumbusha watawala kwamba yupo mtanzania hana japo mlo mmoja

Sisi wengine hadi tunaweza kununua bando tunashukuru

Ila hawa wenzetu pesa hizi kwenye nchi maskini wanazitoa wapi?
 
Huwa natamani hata mungu angekuwa anajibu maombi hapo kwa hapo! Ningeomba majitu yote ya hovyo awamu hii yapigwe radi yafe. Maisha yamekuwa magumu sana mitaani kwa sababu yao
 
Back
Top Bottom