Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchini kuhusu miaka mitatu ya Rais Samia najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi?
Hawa viongozi wanakaa muda gani ofisini kusoma na kutafakari uendeshaji wa ofisi?
Kwa sababu makongamano haya yote yanazungumzia uchaguzi 2025, je hii ni Ishara kwamba tutaendelea hivi kwa miaka miwili hadi uchaguzi?