Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
kila siku 😳Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchni kuhusu miaka mitatu ya Mh.SSH. najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi...
Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchni kuhusu miaka mitatu ya Mh.SSH. najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi?...
Mwambie ajue,join the chain pesa ziko wapi?Umeuliza zile za kuandamana na kufanya mikutano zinatoka wapi?
Mbowe na Jacob wana maghorofa wenzako!!
Kuandamana napo kuna pesa? Nafuatilia zinapotokaUmeuliza zile za kuandamana na kufanya mikutano zinatoka wapi?
Mbowe na Jacob wana maghorofa wenzako!!
Anzisha uzi kuzifuatilie lazima tuambiwe zilipoMwambie ajue,join the chain pesa ziko wapi?
Halafu tija ya makongamano, warsha na matukio hayo mbalimbali ni ipi ilihali nchi imechoka hivi.Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchni kuhusu miaka mitatu ya Mh.SSH. najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi?
Hawa viongozi wanakaa muda gani ofisini kusoma na kutafakari uendeshaji wa ofisi?
Kwa sababu makongamano haya yote yanazungumzia uchaguzi 2025, je hii ni Ishara kwamba tutaendelea hivi kwa miaka miwili hadi uchaguzi?
We unafikiri bodaboda ataacha kukaa kijiweni apakie vichwa apeleke marejesho kwa boss ila azunguke na Mbowe bure siku nzima??Kuandamana napo kuna pesa? Nafuatilia zinapotoka
Una upungufu wa uchumi kichwani (UWAUKI)We unafikiri bodaboda ataacha kukaa kijiweni apakie vichwa apeleke marejesho kwa boss ila azunguke na Mbowe bure siku nzima??
Yale magari wanakodi, music, matangazo unafikiri yanafanyika bure??
Toa hoja sio maneno tupu, kama ulidhani maandamano ni bure jiulize kwanini ulichangishwa Join the Chain.Una upungufu wa uchumi kichwani (UWAUKI)
Katafute pesa uache makasiriko. Umasikini ni mbaya sana na pia acha kujisifia unyongeNaona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchini kuhusu miaka mitatu ya Rais Samia najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi?
Hawa viongozi wanakaa muda gani ofisini kusoma na kutafakari uendeshaji wa ofisi?
Kwa sababu makongamano haya yote yanazungumzia uchaguzi 2025, je hii ni Ishara kwamba tutaendelea hivi kwa miaka miwili hadi uchaguzi?
Mbowe ni pesa zake hizo warsha ni pesa za serikaliUmeuliza zile za kuandamana na kufanya mikutano zinatoka wapi?
Mbowe na Jacob wana maghorofa wenzako!!
Kuna mtu amelalamika hapa jukwaani kuuliza hela zimeenda wapi? NAdhani hapa jibu linaweza kupatikana...Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchini kuhusu miaka mitatu ya Rais Samia najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi?
Hawa viongozi wanakaa muda gani ofisini kusoma na kutafakari uendeshaji wa ofisi?
Kwa sababu makongamano haya yote yanazungumzia uchaguzi 2025, je hii ni Ishara kwamba tutaendelea hivi kwa miaka miwili hadi uchaguzi?
Pesa ninazo ndio maana nipo nalewa Mida hii,Katafute pesa uache makasiriko. Umasikini ni mbaya sana na pia acha kujisifia unyonge