Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Umeeleza vyema sana na huu ndiyo uhalisia wa maisha yetu tulio wengi...

Lakini watu wengi wakiingia JF wanajidai wao mambo safi...kumbe hamna kitu
 
Mtoto wa kiume unaanza kuwaza kupewa zawad ya gari!?

Hebu fikiria mara mbili mbili na hayo marinda yako mkuu..
 
Huu ni umasikini mkuu, umewaza kimasikini sana. Sijui kama umeelewa? Kuna mtu akikuona umevaa suruali ya kitambaa na umechomekea shati la mchele mchele anajiuliza hivi huyu vipi.

Maisha ni uchaguzi, unaishi unavyoona inafaa na hakuna wa kuingilia faragha yako. Kama wewe unaona hayafai, design zake sio rafiki kwako, trust me kuna watu hawalali usingizi wanatamani siku moja wamiliki passo, funcargo, Porte, IST, starlet, vitz etc.
 
'A man brags his penis however tiny. '

nashawishika kuamini wengi wa walioponda hizo gari hata baskeli wanategemea ya, mjumbe wa mtaa. acheni dharau na mali za watu[emoji57][emoji57]
 
'A man brags his penis however tiny. '

nashawishika kuamini wengi wa walioponda hizo gari hata baskeli wanategemea ya, mjumbe wa mtaa. acheni dharau na mali za watu[emoji57][emoji57]
Tunatumia tz 11 hapa mjini mkuu.
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dunia ina mambo
 
😂😂😂
 
Boxer = 2.6M
Porte = 9.6M
Nadia ~ 11.5M

Kwahiyo mwana unataka kutuaminisha ukipewa porte ya 9.6M wewe unaenda kubadilishana na bodaboda akupe Boxer ya 2.6M [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo hutakuwa hautumii akili yako vzr [emoji23][emoji23][emoji23]

Inaonekana wewe hujawah miliki gari maana ndo tabia za wasio na vibaby walker kuponda babywalker za watu


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe wewe kwako gharama ndio muhimu kuliko Ubora??

Yaani kisa bei ghali basi unaamini ndio bora, hii analysis ya ajabu sana

Teh teh teh.....

Ni bora ningeendesha Toyota RunX kuliko hizo porte
 
Kumbe wewe kwako gharama ndio muhimu kuliko Ubora??

Yaani kisa bei ghali basi unaamini ndio bora, hii analysis ya ajabu sana

Teh teh teh.....

Ni bora ningeendesha Toyota RunX kuliko hizo porte
Kwa hiyo boxer ina ubora kuliko porte ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au unamaanisha nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe wewe kwako gharama ndio muhimu kuliko Ubora??

Yaani kisa bei ghali basi unaamini ndio bora, hii analysis ya ajabu sana

Teh teh teh.....

Ni bora ningeendesha Toyota RunX kuliko hizo porte
Wewe ndo una analysis ya ajabu huwez kufanya comparison kati ya boxer na porte [emoji23][emoji23]
 
Wewe ndo una analysis ya ajabu huwez kufanya comparison kati ya boxer na porte [emoji23][emoji23]
Kwanini nisiweze? Wewe ni mgumu kuelewa, sikucompare bei, wala hakuna mahali nimetaja price ya gari na kusema Porte ni cheap car,

nimesema ina muundo wa hovyo, na nilishindwa kabisa kununua gari ya aina hiyo siince, na hata sasa siwezi nunua ni bora kabisa ninunue boxer nijue nina bike n not such kind of a car
 
Usibadilishe ulichokisema kuwa na msimamo

Uliandika hivi
"Ikitokea nikapewa zawadi ya magari hayo nitabadilishana na mtu mwenye pikipiki BOXER muda huohuo kabla ya Masaa 6"

Hukusema kwamba bora ununue boxer bali ulisema hicho nilicho nukuu hapo juu.

Yaani ubadilishane boxer na porte [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole mkuu sema wewe ndo mgumu kuelewa halaf hauna msimamo na ulichokisema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

JF raha sana [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…