Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Umeeleza vyema sana na huu ndiyo uhalisia wa maisha yetu tulio wengi...Gari ni kama nguo, wewe unapenda suti mwenzio cadets, wewe unafia kwenye jeans mwenzio suruali za vitambaa!
Hali kadhalika huwezi kumtaka fundi gereji avae suti na kazi yake unaijua, ndiyo hivyo hivyo huwezi kumlazimisha afisaa wa benki kuvaa overrall kazini kwake kisa wewe unashindia hilo!...
Lakini watu wengi wakiingia JF wanajidai wao mambo safi...kumbe hamna kitu