Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Huu uzi ukiuchunguza kwa kina utagundua wachangiaji wengi ni wapanda daladala, bodaboda na wale wachache wanaomiliki magari ya urithi.

Wale wenzangu na mimi waliojipinda na kununua hizo passo, suzuki, funcargo, nk. wametulia kimya huku wakishangaa nini hasa lengo la huu uzi! ni kejeli tu, kujimwambafai, sizitaki mbichi hizi, au!!!
 
Jamani magari mengine walitengeneza kwa ajili ya house girls na boys kuendea supermarket nyie mnataka mpigie misele mjini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo ni toys za kuchezea watoto miaka 4 mpaka 12.....kwenye compound ya ndani ya nyumba ndio purpose yake ilikuwa hiyo muwe mnasoma historia ya magari kabla ya kununua
 
Mkuu ww una swift nini!?
 
Uko sahihi...kejeli nyingi wakati hata hela ya hizo passo hawana, ndo mana mtoa mada anawaza zawadi, eti nikipewa zawadi[emoji38][emoji38].. Hapo ndo nikaona utoto bado unamsumbua!
 
Lengo la huu uzi ni kwamba kuna vigari tunaendesha hatuvipendi na tungependa kuendesha Rolls-Royce,Bentley,Vogue na Mashine zingine siyo haya makopo.
 
Gari ni gari as long as it gets you from point A to point B.kama unataka Landcruiser 200series,Bentley bentyaga,Rolls Royce Cullinan,jaguar E,lamborghini Aventador,Mc laren gt, jaguar F type hayo ni maswala ya budget yako Kama inaruhusu.wanao kuwa na gari na shape Kama box wengi wao budget zao lakini wengine huangalia fuel consumption wengine unakuta anapenda kuwa na gari ndogo katika moja ya fleet yake.
 
Wewe tangu june 2018 unafanya mchakato wa kununua hadi leo bado unatafuta ushauri. Amka toa hilo godoro hapo sebuleni shemeji apite.
Una uhakika sijatimiza malengo yangu mpaka leo?

I'm owning my dream car,
 
Upo sahihi kabisa Mkuu!
 
Wewe tangu june 2018 unafanya mchakato wa kununua hadi leo bado unatafuta ushauri. Amka toa hilo godoro hapo sebuleni shemeji apite.
😀 Uzi umetawaliwa na wamiliki wa VX tupu!
Binafsi sina usafiri ila kwa adha ya daladala nayoipata kituoni, nikimuona mtu anapita na passo yake namuonea wivu kiukweli.Natamani nami nimiliki hiyo Passo kuepuka adha ya usafiri wa daladala.
 
Uko sahihi...kejeli nyingi wakati hata hela ya hizo passo hawana, ndo mana mtoa mada anawaza zawadi, eti nikipewa zawadi[emoji38][emoji38].. Hapo ndo nikaona utoto bado unamsumbua!
Wewe kama sio Funcargo ni Porte wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…