Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Unatema chini nini?Mkojo,manii,mate au tonge la ugali na mchicha?

Unatema kupitia wapi?Kikojoleo au makalioni?

Mnadharau usafiri wa wenzenu kwanini?Ninalo hapa mpaka nimejisikia vibaya mno!!!

Be serious dude!!!
Haahaahaaahaa[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]

Jamani nimecheka asubuhi hii mie[emoji28][emoji28]

Mkuu usichukulie kila kitu humu serious utapagawa buuree, watu wanaondoa stress zao humu!
 
Huu uzi ukiuchunguza kwa kina utagundua wachangiaji wengi ni wapanda daladala, bodaboda na wale wachache wanaomiliki magari ya urithi.

Wale wenzangu na mimi waliojipinda na kununua hizo passo, suzuki, funcargo, nk. wametulia kimya huku wakishangaa nini hasa lengo la huu uzi! ni kejeli tu, kujimwambafai, sizitaki mbichi hizi, au!!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sijawahi kujutia uwepo wangu humu jf...[emoji23][emoji23], Maana.....
Wasomi nyie,
Matajiri nyie,
Wenye magari nyie,
Wenye wake/wame wazuri nyie,
Mlio kamilika/msio na mapungufu nyie,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mliokamilika nyie nimecheka aisee!
 
Hayo yalifanikiwa kutengenezazwa, design nyingi huishia kwenye drawing board na prototype stage.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mliokamilika nyie nimecheka aisee!
Hiyo ndio jf mkuu, ukiwa humu ndani usishangae kusikia kijamaa kina ponda vibaby walker, na wakati huo mpondani ameka sebuleni kwa shemeji yake na usijuye ndio kamaliza kunyoosha nguo za mume wa dadaake
 
Unatema chini nini?Mkojo,manii,mate au tonge la ugali na mchicha?

Unatema kupitia wapi?Kikojoleo au makalioni?

Mnadharau usafiri wa wenzenu kwanini?Ninalo hapa mpaka nimejisikia vibaya mno!!!

Be serious dude!!!
Mkuu pole sana ila ndo ukweli. Haka ka gari ukiacha maelekezo home wakaoshe utakuta beki 3 kakatenga kwenye beseni anakasugua na dodoki. By the way hivi haka ukipiga honi kuingia home wanalazimika kufungua geti lote kaingie au inatosha kufungua kile ki mlango cha geti kidogo kwa ajili ya matumizi ya watu?
 
Watanzania ni wapuuz. Kati ya magari yanayopendwa ulaya ni hili na kuna kale kapeogeot milango miwili. Kwanza fuel consumption yake ni ndogo na easy to maintain. Yani mibongo sirudi tena bongo sitaki kuchanganyana na mijitu ye iq iliyofail
Una akili wewe?

Sasa unafananisha barabara za Europe na makorongo ya Bongo?

Hapa Bongo lami ipo sehemu ngapi, gari Hata ukiambiwa upeleke kilo 25 ya Mchele kwa mama mkwe haiendi inashuka usawa wa lami, hapo hujaingia local roads kijijini
 
Hiyo ndio jf mkuu, ukiwa humu ndani usishangae kusikia kijamaa kina ponda vibaby walker, na wakati huo mpondani ameka sebuleni kwa shemeji yake na usijuye ndio kamaliza kunyoosha nguo za mume wa dadaake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ni tabia yetu wabongo! Ulichosema ni ukweli mtupu.
 
Back
Top Bottom