Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Ha ha hapna mkuu sijawahi miliki Toyota achilia mbali hizo Porte na wenzake, lakini hili halinipi sababu ya kuwabeza wenye nazo!
Kwani mimi nawabeza wenye nazo?
 
Ukistaajabu ya Porte utakuwa hujakumbana na Passo short chasis. Juzi kati kamenipita ka passo milango miwili nilijikuta natema chini
Unatema chini nini?Mkojo,manii,mate au tonge la ugali na mchicha?

Unatema kupitia wapi?Kikojoleo au makalioni?

Mnadharau usafiri wa wenzenu kwanini?Ninalo hapa mpaka nimejisikia vibaya mno!!!

Be serious dude!!!
 
Baby walker ni za kuendea sokoni Mahouse girls na Shamba Boyz kununulia mazagazaga ya nyumbani(Kununua nyama,maji makubwa ,unga kiroba,mchele etc)!!
 

Mara nyingi uchaguzi "Choices" huja pale unapokua na uwezo

Wengi wanaunga mkono humu ila akipewa hilo anashukuru hadi anapiga magoti😄😄
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…