Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Haahaahaaahaa[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]Unatema chini nini?Mkojo,manii,mate au tonge la ugali na mchicha?
Unatema kupitia wapi?Kikojoleo au makalioni?
Mnadharau usafiri wa wenzenu kwanini?Ninalo hapa mpaka nimejisikia vibaya mno!!!
Be serious dude!!!
Mtu mwenyewe kama lemutuz. Yaani alikuwa kama anakabaka.😀Hilo dume lilituaibisha sana wanaume...[emoji23][emoji23]
Haaaahaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]Hizo Gari si bora mtu ununue Mwamvuli.
Hongera mkuu, uje kitaa utulingishie tako la nyaniDream Car yangu Mimi ni Harrier haijaloshi Old au New model napigana usiku na mchana niipate, Nina miaka mitano serikalini toka niajiriwe lengo langu ni Ndani ya hii miaka mitano ya mwisho ya JPM niinyakue haijalishi kwa mkopo wa Bank au cash yangu binafsi
Ha ha mi mbavu zangu jamani mweeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti anakabaka[emoji16]Mtu mwenyewe kama lemutuz. Yaani alikuwa kama anakabaka.[emoji3]
Sina gari lakini hivyo vidude hapana[emoji3][emoji3] wanawake ndio vinawapendeza.
Ha ha mi mbavu zangu jamani mweeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shost yangu job anacho ki porte basi kakosa parking, analalamika atapark wapi nikamwambia si ukipakatee uende nacho ofisini, kaninunia hadi leo
Jamani magari mengine walitengeneza kwa ajili ya house girls na boys kuendea supermarket nyie mnataka mpigie misele mjini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Huu uzi ukiuchunguza kwa kina utagundua wachangiaji wengi ni wapanda daladala, bodaboda na wale wachache wanaomiliki magari ya urithi.
Wale wenzangu na mimi waliojipinda na kununua hizo passo, suzuki, funcargo, nk. wametulia kimya huku wakishangaa nini hasa lengo la huu uzi! ni kejeli tu, kujimwambafai, sizitaki mbichi hizi, au!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mliokamilika nyie nimecheka aisee!Sijawahi kujutia uwepo wangu humu jf...[emoji23][emoji23], Maana.....
Wasomi nyie,
Matajiri nyie,
Wenye magari nyie,
Wenye wake/wame wazuri nyie,
Mlio kamilika/msio na mapungufu nyie,
Hiyo ndio jf mkuu, ukiwa humu ndani usishangae kusikia kijamaa kina ponda vibaby walker, na wakati huo mpondani ameka sebuleni kwa shemeji yake na usijuye ndio kamaliza kunyoosha nguo za mume wa dadaake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mliokamilika nyie nimecheka aisee!
Mkuu pole sana ila ndo ukweli. Haka ka gari ukiacha maelekezo home wakaoshe utakuta beki 3 kakatenga kwenye beseni anakasugua na dodoki. By the way hivi haka ukipiga honi kuingia home wanalazimika kufungua geti lote kaingie au inatosha kufungua kile ki mlango cha geti kidogo kwa ajili ya matumizi ya watu?Unatema chini nini?Mkojo,manii,mate au tonge la ugali na mchicha?
Unatema kupitia wapi?Kikojoleo au makalioni?
Mnadharau usafiri wa wenzenu kwanini?Ninalo hapa mpaka nimejisikia vibaya mno!!!
Be serious dude!!!
Una akili wewe?Watanzania ni wapuuz. Kati ya magari yanayopendwa ulaya ni hili na kuna kale kapeogeot milango miwili. Kwanza fuel consumption yake ni ndogo na easy to maintain. Yani mibongo sirudi tena bongo sitaki kuchanganyana na mijitu ye iq iliyofail
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ni tabia yetu wabongo! Ulichosema ni ukweli mtupu.Hiyo ndio jf mkuu, ukiwa humu ndani usishangae kusikia kijamaa kina ponda vibaby walker, na wakati huo mpondani ameka sebuleni kwa shemeji yake na usijuye ndio kamaliza kunyoosha nguo za mume wa dadaake